Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki akizindua awamu ya pili
ya kuzisaidia kifedha Asasi zinazotoa huduma ya msaada wa kisheria
nchini katika hafla iliyofanyika jana, jijini Dar Es Salaam.
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. angellah Kairuki akikabidhi tuzo ya
fedha kwa moja ya Asasi zilizopata tuzo hizo jana jijini Dar Es Salaam.
Katikati anayeshuhudia ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Makungu.
No comments:
Post a Comment