Thursday, October 18, 2012

PICHA ZA HARUSI YA MTANGAZAJI WA RADIO JOGOO NA WAPAMBE WAO WATANGAZAJI WA TBC ILIYO FANYIKA KATIKA UKUMBI WA FAMILIA TAKATIFU BOMBAMBILI

Bw.Harusi Francis Sengo wa upande wa kulia akiwa na mpambe wake Gerson Msigwa

                                                 Bw.Harusi akimlisha keki Bi.Harusi

                             Bw.harusi Francis Sengo na Bi.harusi Jacline Mkomange wakiwa katika pozi
Bi.harusi akikabidhi keki upande wa kiumeni
Bw.harusi na mpambe wake wakiwa katika pozi
Bi.harusi na mpambe wake Catheline Nyoni katika pozi  
Bw.harusi na mpambe wake wakisakata rumba












1 comment:

  1. Program Manager wa Jogoo radio, Francis Sengo ongera sana kwa maamuzi ya busara yenye hekima na maarifa ndeani yake.Journalists controlled by reasoning and not laws.

    ReplyDelete